Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu – Nini hukumu ya kumwomba asiyekuwa Mwenyezi Mungu kama mawalii?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu – Nini hukumu ya kumwomba asiyekuwa Mwenyezi Mungu kama mawalii?
العقيدة سؤال وجواب – ما حكم دعاء غير الله كالأولياء؟
دعاؤهم شرك يدخل النار
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
فلا تدع مع الله إلها آخر فتكون من المعذبين
[الشعراء : 213]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من مات وهو يدعو من دون الله ندا دخل النار
رواه البخاري
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu –
Nini hukumu ya kumwomba asiyekuwa Mwenyezi Mungu kama mawalii?
Kuwaomba ni shirki inayosababisha kuingia motoni.
Dalili kutoka katika Qur’an:
Mwenyezi Mungu amesema:
” Basi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakao adhibiwa..”
[Surat Ash-Shu’ara: 213]
Dalili kutoka katika Sunnah:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehma na amani zimshukie) amesema:
“Yeyote atakayekufa huku akimwomba asiyekuwa Mwenyezi Mungu mshirika, ataingia motoni.”
(Imepokewa na Bukhari)