Aqiida ( Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu – Je, shirki ipo kwa Waislamu?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida ( Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu – Je, shirki ipo kwa Waislamu?
العقيدة سؤال وجواب – هل الشرك موجود في المسلمين ؟
نعم موجود بكثرة مع الأسف
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
وما يؤمن أكثرهم بالله إلا وهم مشركون
[يوسف : 106]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا تقوم الساعة حتى تلحق قبائل من أمتي بالمشركين ، وحتى يعبدوا الأوثان
رواه الترمذي وصححه الألباني
Aqiida ( Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu –
Je, shirki ipo kwa Waislamu?
Ndio, ipo kwa wingi, kwa bahati mbaya.
Dalili kutoka katika Qur’an:
Mwenyezi Mungu amesema:
” Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina..”
[Surat Yusuf: 106]
Dalili kutoka katika Sunnah:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (R ehma na amani zimshukie) amesema:
“Haitosimama Saa (ya Kiyama) mpaka makabila kutoka umma wangu yajiunge na washirikina, na mpaka waabudu masanamu.”
(Imepokewa na Tirmidhi, na kusahihishwa na Al-Albani)