Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu: Maswali na Majibu – Faida ya Tawhid kwa Muislamu ni nini?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu: Maswali na Majibu – Faida ya Tawhid kwa Muislamu ni nini?
العقيدة سؤال وجواب – ما هي فائدة التوحيد للمسلم؟
الهداية في الدنيا والأمن في الآخرة .
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
الذين آمنوا ولم يلبسوا إيمانهم بظلم أولئك لهم الأمن وهم مهتدون
[الأنعام : 82]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
حق العباد على الله أن لا يعذب من لا يشرك به شيئا
متفق عليه
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu: Maswali na Majibu –
Faida ya Tawhid kwa Muislamu ni nini?
Mwongozo katika maisha ya dunia na usalama katika Akhera.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu:
Mwenyezi Mungu anasema:
“Wale walioamini na hawakuchanganya imani yao na dhulma, hao watakuwa na amani na wao ndio walioongoka.”
[Al-An’am: 82]
Dalili kutoka katika Hadithi ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema:
“Haki ya waja juu ya Mwenyezi Mungu ni kwamba asiwaadhibu wale wasiomshirikisha Yeye na chochote.”
(Hadithi hii imekubaliwa na Bukhari na Muslim)