Kwa Nani Tunamuomba Uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Kwa Nani Tunamuomba Uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?
العقيدة سؤال وجواب – ممن نطلب شفاعة الرسول صلى الله عليه وسلم ؟
نطلب شفاعة الرسول صلى الله عليه وسلم من الله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
قل لله الشفاعة جميعا
[الزمر : 44]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
عن عثمان بن حنيف رضي الله عنه : أن النبي صلى الله عليه وسلم علمه أن يدعو بهذا الدعاء: اللهم شفعه في
رواه ابن ماجة وصححه الألباني
أي شفع الرسول صلى الله عليه وسلم في
Aqida:( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Kwa Nani Tunamuomba Uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?
Tunamuomba Allah atupe uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
“Sema: Uombezi wote uko kwa Allah.”
(Az-Zumar: 44)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Kutoka kwa Uthman bin Hunaif Radhi za Allah ziwe juu yake, kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alimfundisha aseme katika dua:
“Ewe Mola! Mjaalie (Mtume) awe muombezi wangu.”
(Imepokewa na Ibn Majah na kusahihishwa na Al-Albani)
Maana:
Tunamuomba Allah atukubalie uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), kwani uombezi wote ni kwa idhini ya Allah.