Vipi Tunampenda Allah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
العقيدة سؤال وجواب – كيف نحب الله ورسوله صلى الله عليه وسلم ؟
المحبة تكون بالطاعة واتباع الأوامر
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله
[آل عمران : 31]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا يؤمن أحدكم حتى أكون أحب إليه من والده وولده والناس أجمعين
متفق عليه
Aqida: ( Itikadi ya Kiislamu)Swali na Jibu –
Vipi Tunampenda Allah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?
Upendo wa kweli ni katika kutii na kufuata amri Zake.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
“Sema: Ikiwa mnampenda Allah, nifuateni, Allah atakupendeni.”
(Aal Imran: 31)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Hamini mmoja wenu mpaka niwe napendezwa zidi kwake kuliko baba yake, mtoto wake, na watu wote.”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim)
Maana:
Upendo wa kweli kwa Allah na Mtume Wake ﷺ unadhihirika kwa kufuata mafundisho ya Uislamu, kutii amri Zake, na kujiepusha na makatazo Yake.