Document

Silsila ya Tabia njema – Kuwa na Nguvu new post

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Silsila ya Tabia njema – Kuwa na Nguvu
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Silsila ya Tabia njema – Kuwa na Nguvu
سلسلة الأخلاق – القوة
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
القوة
قال الله تعالى :
قالت إحداهما يا أبت استأجره إن خير من استأجرت القوي الأمين
( القصص : 26 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
المؤمن القوي خير وأحب إلى الله من المؤمن الضعيف ، وفي كل خير
رواه مسلم

Silsila ya Tabia njema – Kuwa na Nguvu
Haya ni maadili matukufu ambayo Uislamu umehimizwa sana.
Allah Mtukufu amesema:
“Akasema mmoja katika wale wanawake: Ewe baba yetu! Muajiri huyu. Hakika mbora wa kumuajiri ni mwenye nguvu na muaminifu.”
(Al-Qasas: 26)
Mtume ﷺ Amesema:
“Muumini mwenye nguvu ni bora na mpenzi zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko muumini dhaifu, na katika wote kuna kheri.”
(Ameipokea Muslim)

4
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img