Ni nani (wale waliokasirikiwa) na ni nani (wale waliopotea)?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Ni nani (wale waliokasirikiwa) na ni nani (wale waliopotea)?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Ni nani (wale waliokasirikiwa) na ni nani (wale waliopotea)?
العقيدة سؤال وجواب – من هم ( المغضوب عليهم ) ومن هم ( الضالون ) ؟
المغضوب عليهم هم اليهود والضالون هم النصارى
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
غير المغضوب عليهم ولا الضالين
[الفاتحة : 7]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
اليهود مغضوب عليهم والنصارى ضلال
رواه الترمذي وصححه الألباني
Aqida ( Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu –
Ni nani (wale waliokasirikiwa) na ni nani (wale waliopotea)?
Waliokasirikiwa ni Wayahudi, na wale waliopotea ni Manasara. (Wakiristo)
Dalili kutoka kwa Qur’ani:
Mwenyezi Mungu anasema:
“siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea..” (Al-Fatiha: 7)
Dalili kutoka katika Sunna ((Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) ):
Mtume Muhammad Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Wayahudi ni waliokasirikiwa na Manasara ni waliopotea.”
Imeripotiwa na At-Tirmidhi na Al-Albani alithibitisha uhalali wake.

37
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img