Je, Tunatosheka na Qur’an Bila Hadithi?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, Tunatosheka na Qur’an Bila Hadithi?
العقيدة سؤال وجواب – هل نستغني بالقرآن عن الحديث ؟
لا نستغني بالقرآن عن الحديث
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
بالبينات والزبر وأنزلنا إليك الذكر لتبين للناس ما نزل إليهم
[النحل : 44]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
ألا إني أوتيت الكتاب ومثله معه
رواه أبو داود وصححه الألباني
Aqida:( Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Je, Tunatosheka na Qur’an Bila Hadithi?
Hatuwezi kutosheka na Qur’an bila Hadithi za Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) .
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
Kwa Ishara wazi na Vitabu. Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao,”
(An-Nahl: 44)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika mimi nimepewa Kitabu (Qur’an) na mfano wake pamoja nacho.”
(Imepokewa na Abu Dawud na kusahihishwa na Al-Albani)
Maana:
Hadithi ni ufafanuzi wa Qur’an, na bila Sunna ya Mtume Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), hatuwezi kuelewa na kutekeleza sheria za Qur’an ipasavyo.