Nini Kazi ya Uwakilishi wa Mtume ﷺ?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Nini Kazi ya Uwakilishi wa Mtume ﷺ?
العقيدة سؤال وجواب – ما هي واسطة الرسول صلى الله عليه وسلم ؟
واسطة الرسول صلى الله عليه وسلم هي التبليغ
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
يا أيها الرسول بلغ ما أنـزل إليك من ربك
[المائدة : 67]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
اللهم هل بلغت ؟ اللهم اشهد
رواه مسلم
جوابا لقول الصحابة نشهد أنك قد بلغت
Aqida:( Itikadi ya Kiislamu Swali na Jibu –
Nini Kazi ya Uwakilishi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)?
Uwakilishi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) ni kufikisha Ujumbe wa Uislamu.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
“Ewe Mtume! Fikisha uliyo teremshiwa kutoka kwa Mola wako.”
(Al-Ma’ida: 67)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Ewe Mola! Je, nimefikisha? Ewe Mola! Shuhudia.”
(Imepokewa na Muslim)
Kauli ya Maswahaba:
Maswahaba walijibu: “Tunakushuhudia kuwa hakika umefikisha (ujumbe).”