Je, inaruhusiwa kufunga hirizi kwa ajili ya kupona?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Je, inaruhusiwa kufunga hirizi  kwa ajili ya kupona?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Je, inaruhusiwa kufunga hirizi kwa ajili ya kupona?
العقيدة سؤال وجواب – هل يجوز تعليق الخرز والتمائم للشفاء ؟
لا يجوز تعليقها لأنه من الشرك
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
وإن يمسسك الله بضر فلا كاشف له إلا هو
[الأنعام : 17]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من علق تميمة فقد أشرك
صححه الألباني ( صحيح الجامع )
[ التميمة : ما يعلق من العين ]

Aqiida: (Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Je, inaruhusiwa kufunga hirizi kwa ajili ya kupona?
Hairuhusiwi kufunga Hirizi kwani ni shirk.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu
Allah amesema:
“Na ikiwa Allah atakugusa na madhara, hakuna wa kuyaondoa isipokuwa Yeye.”
[Al-An’am: 17]
Dalili kutoka katika Sunna za Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Anayeaning’iniza tamu amefanya shirk.”
Imepokewa na Al-Albani (Sahih Al-Jami’)
(Tamima: Nikunga kitu kwa lengo la kuzuia jicho au kuleta shifa)

23
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img