Tunatumuomba Menyezi Mungu kwa njia gani?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Tunatumuomba Menyezi Mungu kwa njia gani?
العقيدة سؤال وجواب – بماذا نتوسل إلى الله تعالى ؟
نتوسل بأسمائه وصفاته والعمل الصالح
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ولله الأسماء الحسنى فادعوه بها
[الأعراف : 180]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
أسألك بكل اسم هو لك سميت به نفسك
صححه الألباني ( صحيح الترغيب )
Aqiida: ( Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Tunatumuomba Menyezi Mungu kwa njia gani?
Tunamuomba kwa majina Yake mazuri, sifa Zake, na matendo mema.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu
Allah amesema:
” Na Mwenyezi Mungu ana majina mazuri kabisa, basi muombeni kwa hayo.”
[Al-A’raf: 180]
Dalili kutoka katika Sunna za Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Nakuomba kwa kila jina ambalo ni Lako, ulilojipa Mwenyewe.”
Imepitiwa na Al-Albani (Sahih Al-Targhib)