Je, ni hukumu gani kufuata Kanuni zinazopingana na Uislamu?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, ni hukumu gani kufuata Kanuni zinazopingana na Uislamu?
العقيدة سؤال وجواب – ما حكم العمل بالقوانين المخالفة للإسلام ؟
العمل بها كفر إذا أجازها
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ومن لم يحكم بما أنـزل الله فأولئك هم الكافرون
[المائدة : 44]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
وما لم تحكم أئمتهم بكتاب الله ويتخيروا مما أنزل الله إلا جعل الله بأسهم بينهم
رواه ابن ماجة وصححه الألباني
Aqiida: ( Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Je, ni hukumu gani kufuata Kanuni zinazopingana na Uislamu?
Kuzifuata ni ukafiri ikiwa mtu ataziruhusu.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu
Allah amesema:
” Na wasio hukumu kwa aliyo teremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio makafiri..”
[Al-Maida: 44]
Dalili kutoka katika Sunna za Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Na viongozi wao wasiohuku,u kwa Kitabu cha Mwenyezi Mungu na kuchagua kutokana na yale aliyoteremsha Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu ataweka ugomvi kati yao.”
Imepokewa na Ibn Majah na kusahihishwa na Al-Albani