Je, kuna yeyote anayeijua ghaibu?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, kuna yeyote anayeijua ghaibu?
العقيدة سؤال وجواب – هل يعلم الغيب أحد ؟
لا يعلم الغيب أحد إلا الله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
وعنده مفاتح الغيب لا يعلمها إلا هو
[الأنعام : 59]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا يعلم الغيب إلا الله
رواه البخاري
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Je, kuna yeyote anayeijua ghaibu?
Hapana, hakuna anayejua ghaibu isipokuwa Mwenyezi Mungu.
Dalili kutoka kwa Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
Na kwake (Allah) zipo funguo za ghaibu, wala hakuna anayezijua isipokuwa Yeye.
[Al-An’am: 59]
Dalili kutoka kwa Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
Hakuna anayejua ghaibu isipokuwa Allah.
Imepokelewa na al-Bukhari.