Hukumu ya kufanya uchawi ni ipi؟
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Hukumu ya kufanya uchawi ni ipi؟
العقيدة سؤال وجواب – ما حكم العمل بالسحر ؟
العمل بالسحر من الكفر
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ولكن الشياطين كفروا يعلمون الناس السحر
[البقرة : 102]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
اجتنبوا السبع الموبقات . . . : الشرك بالله ، والسحر . . .
رواه مسلم
Aqiida ( Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu –
Hukumu ya kufanya uchawi ni ipi؟
Kufanya uchawi ni aina ya ukafiri.
Dalili kutoka katika Qur’ani Tukufu:
Amesema Mwenyezi Mungu:
“Lakini Mashetani walikufuru wakawafundisha watu uchawi.”
[Al-Baqara: 102]
Dalili kutoka kwa Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) :
Amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
“Jiepusheni na madhambi saba yenye kuangamiza: kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi . . .”
Imepokewa na Muslim.