Je, inaruhusiwa kuchinja kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Je, inaruhusiwa kuchinja kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Je, inaruhusiwa kuchinja kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
العقيدة سؤال وجواب – هل يجوز الذبح لغير الله ؟
لا يجوز لأنه من الشرك الأكبر
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
فصل لربك وانحر
[الكوثر : 2]
أي اذبح لله فقط
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لعن الله من ذبح لغير الله
رواه مسلم
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu): Swali na Jibu –
Je, Inaruhusiwa Kuchinja kwa Asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
Swali:
Je, inaruhusiwa kuchinja kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
Jibu:
Hapana, haijuzu kuchinja kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, na kufanya hivyo ni miongoni mwa shirk kubwa.
Dalili kutoka Qur’an:
Mwenyezi Mungu Amesema:
” Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi..”
[Al-Kawthar: 2]
(Yaani, chinja kwa ajili ya Mwenyezi Mungu peke yake).
Dalili kutoka Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenyezi Mungu amemlaani anayechinja kwa ajili ya asiyekuwa Mwenyezi Mungu.”
[Imepokewa na Muslim]

16
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img