Je, inaruhusiwa kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Je, inaruhusiwa kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Je, inaruhusiwa kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
العقيدة سؤال وجواب – هل يجوز النذر لغير الله ؟
لا يجوز النذر إلا لله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
رب إني نذرت لك ما في بطني محررا فتقبل مني
[آل عمران : 35]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من نذر أن يطيع الله فليطعه ، ومن نذر أن يعصيه فلا يعصه
رواه البخاري
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu: Swali na Jibu –
Je, Inaruhusiwa Kuweka Nadhiri kwa Asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
Swali:
Je, inaruhusiwa kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
Jibu:
Hapana, haijuzu kuweka nadhiri isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu tu.
Dalili kutoka Qur’an:
Mwenyezi Mungu Amesema:
” Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.
[Aal-Imran: 35]
Dalili kutoka Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Yeyote anayetoa nadhiri ya kumtii Mwenyezi Mungu basi na amtii, na yeyote anayetoa nadhiri ya kumuasi Mwenyezi Mungu basi asimuasi.”
[Imepokewa na Bukhari]

17
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img