Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu – Shirki kubwa ni nini?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu)  Maswali na Majibu – Shirki kubwa ni nini?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu – Shirki kubwa ni nini?
العقيدة سؤال وجواب – ما هو الشرك الأكبر ؟
هو صرف العبادة لغير الله كالدعاء
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
قل إنما أدعو ربي ولا أشرك به أحدا
[الجن : 20]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
أكبر الكبائر : الإشراك بالله
رواه البخاري
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu –
Shirki kubwa ni nini?
Shirki kubwa ni kuielekeza ibada kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, kama vile kuomba (dua).
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu:
Mwenyezi Mungu anasema:
“Sema: Mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote.”
[Surat Al-Jinn: 20]
Dalili kutoka katika Sunnah ya Mtume (ﷺ):
Mtume (ﷺ) amesema:
“Dhambi kubwa zaidi ni kushirikisha Mwenyezi Mungu.”
(Imepokewa na Bukhari)

20
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img