Document

Silsila ta Tabia njema– Kusitiri new post

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Silsila ta Tabia njema– Kusitiri
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Silsila ta Tabia njema– Kusitiri
سلسلة الأخلاق – الستر
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
الستر
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا يستر عبد عبدا في الدنيا ، إلا ستره الله يوم القيامة
رواه مسلم
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
إن الله عز وجل حيي ستير يحب الحياء والستر
رواه أبو داود وصححه الألباني

Silsila ta Tabia njema– Kusitiri
Maadili mema ambayo Sharia imehimiza na kuamrisha ni
Kusitiri (kuficha aibu za watu na kuhifadhi heshima zao
Mtume (Rehema na amani zimfikie yeye) amesema
Mja hamsitir mja mwenzake duniani isipokuwa Allah atamsitiri Siku ya Kiyama.”
(Imepokewa na Muslim)
Na Mtume (Rehema na amani zimfikie yeye) amesema
Hakika Allah Mtukufu ni Mwenye haya na ni Mwenye kusitiri, Anapenda haya na kusitiri.”
(Imepokewa na Abu Dawud, na Sheikh Al-Albani ameisahihisha)

6
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img