Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu – Je, Tunamuabudu Mwenyezi Mungu kwa Hofu na Matumaini?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu – Je, Tunamuabudu Mwenyezi Mungu kwa Hofu na Matumaini?
العقيدة سؤال وجواب – هل نعبد الله خوفا وطمعا ؟
نعم نعبده خوفا وطمعا
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
وادعوه خوفا وطمعا
[الأعراف : 56]
أي خوفا من ناره وطمعا في جنته
الدليل من السنة والنبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
أسأل الله الجنة، وأعوذ به من النار
رواه ابن ماجة وصححه الألباني
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu –
Je, Tunamuabudu Mwenyezi Mungu kwa Hofu na Matumaini?
Jibu: Ndio, tunamuabudu Mwenyezi Mungu kwa hofu ya moto Wake na matumaini ya kupata pepo Yake.
Ushahidi kutoka Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
“Na mwombeni kwa hofu na tamaa…”
(Al-A’raf: 56)
Maana yake: Hofu ya moto Wake na tamaa ya kupata pepo Yake.
Ushahidi kutoka Sunnah ya Mtume (ﷺ)
Mtume Muhammad (ﷺ) amesema:
“Ninamwomba Mwenyezi Mungu (aniingize) peponi, na najikinga kwake na moto wa Jahanamu.”
(Imepokewa na Ibn Majah, na Sheikh Albani ameisahihisha)