Document

Silsila ya Tabia njema – Ushauriano (Shura)

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Silsila ya Tabia njema – Ushauriano (Shura)
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Silsila ya Tabia njema – Ushauriano (Shura)
سلسلة الأخلاق – الشورى
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
الشورى
قال الله تعالى :
وأمرهم شورى بينهم
( الشورى : 38 )
عن عبدالله بن عمر رضي الله عنهما :
أن النبي صلى الله عليه وسلم استشار الناس لما يهمهم إلى الصلاة . . .
رواه ابن ماجة وحسنه الألباني

Silsila ya Tabia njema – Ushauriano (Shura)
Ni miongoni mwa maadili mema ambayo Uislamu umehimiza na kuamrisha ni:
Ushauriano
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
Na mambo yao hufanywa kwa kushauriana baina yao.
(Surat Ash-Shura: 38)
Kutoka kwa Abdullah bin Umar (radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao):
Hakika Mtume alikuwa akiwashauri watu katika mambo yanayowahusu, hata kuhusu (mambo ya kuwaita watu) kwenye swala…
(Imepokewa na Ibn Majah na imehasanishwa na Al-Albani)

12
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img