Hukumu ya kusema kuwa Qur’ani imempotoshwa?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

 Hukumu ya kusema kuwa Qur’ani imempotoshwa?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

العقيدة سؤال وجواب – ما حكم من يقول بتحريف القرآن ؟
الذي يقول بتحريف القرآن كافر
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
إنا نحن نـزلنا الذكر وإنا له لحافظون
[الحجر : 9]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
تركت فيكم أمرين ، لن تضلوا ما تمسكتم بهما : كتاب الله وسنة رسوله
قال الألباني : إسناده حسن ( تخريج مشكاة المصابيح )
Aqida: ( Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu –
Hukumu ya kusema kuwa Qur’ani imempotoshwa?
Yule anaye sema kuwa Qur’ani imempotoshwa ni kafiri.
Dalili kutoka kwa Qur’ani: Mwenyezi Mungu anasema:
” Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda.” (Al-Hijr: 9).
Dalili kutoka katika Sunna ((Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)): amesema:
“Nawaachieni mambo mawili, hamtapotea mkiyashikilia: Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah ya Mtume wake.”
Hadithi hii inaonyesha kwamba Qur’ani na Sunnah ni vyanzo viwili ambavyo vitahifadhiwa na hakutakuwa na upotoshaji.
Al-Albani alisema kwamba isnadi ya hadithi hii ni nzuri, na imepatikana katika kitabu cha “Mishkat al-Masabih,” ikithibitisha uhalali wa maana hii.

33
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img