Ni Watu Gani Bora Baada ya Mitume?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Ni Watu Gani Bora Baada ya Mitume?
العقيدة سؤال وجواب – من هم أفضل الناس بعد الرسل ؟
هم أصحاب رسول الله صلى الله عليه وسلم
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
والسابقون الأولون من المهاجرين والأنصار والذين اتبعوهم بإحسان رضي الله عنهم ورضوا عنه
[التوبة : 100]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
خير الناس قرني ، ثم الذين يلونهم ، ثم الذين يلونهم
متفق عليه
Aqida: ( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Ni Watu Gani Bora Baada ya Mitume?
Watu bora baada ya mitume ni Masahaba wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:” Na wale walio tangulia, wa kwanza, katika Wahajiri na Ansari, na walio wafuata kwa wema, Mwenyezi Mungu ameridhika nao,”(At-Tawba: 100)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Watu bora ni wa karne yangu, kisha wale wanaowafuata, kisha wale wanaowafuata.”
(Imeafikiwa na Bukhari na Muslim)