Lini Waislamu Wanapata Ushindi?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Lini Waislamu Wanapata Ushindi?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Lini Waislamu Wanapata Ushindi?
العقيدة سؤال وجواب – متى ينتصر المسلمون ؟
إذا عملوا بكتاب ربهم وسنة نبيهم
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
يا أيها الذين آمنوا إن تنصروا الله ينصركم ويثبت أقدامكم
[محمد : 7]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا تزال طائفة من أمتي منصورين
رواه ابن ماجة وصححه الألباني
Aqida: ( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Lini Waislamu Wanapata Ushindi?
Waislamu wanapata ushindi wakishikamana na Kitabu cha Mola wao na Sunna ya Mtume wao (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.”
(Muhammad: 7)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Kitaendelea kuwepo kundi katika Umma wangu likisaidiwa na Allah.”
(Imepokelewa na Ibn Majah na kusahihishwa na Al-Albani)

33
شارك :

error-img taf-img