Je, Kuna Sunna Nzuri Katika Uislamu?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, Kuna Sunna Nzuri Katika Uislamu?
العقيدة سؤال وجواب – هل في الإسلام سنة حسنة ؟
نعم، كالبادئ بفعل خير ليقتدى به
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
واجعلنا للمتقين إماما
[الفرقان : 74]
أي قدوة في فعل الخير
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من سن في الإسلام سنة حسنة ، فله أجرها ، وأجر من عمل بها بعده
رواه مسلم
Aqida: ( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Je, Kuna Sunna Nzuri Katika Uislamu?
Ndio, kama mtu anayeanzisha jambo jema ambalo linafuatwa.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu.”
(Al-Furqan: 74)
Maana yake: Tuwe kigezo katika kufanya mema.
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuanzisha katika Uislamu sunna njema, atapata thawabu yake na thawabu za wale wanaoifuata baada yake.”
(Imepokelewa na Muslim)