Ni nini Bid’ah Katika Dini?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Ni nini Bid’ah Katika Dini?
العقيدة سؤال وجواب – ما هي البدعة في الدين ؟
كل ما لم يقم عليه دليل شرعي
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
أم لهم شركاء شرعوا لهم من الدين ما لم يأذن به الله
[الشورى : 21]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد
متفق عليه
[أي غير مقبول]
Aqida: ( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Ni nini Bid’ah Katika Dini?
Bid’ah ni kila jambo ambalo halina dalili ya kisheria.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Au hao wana miungu ya kishirikina walio watungia dini asiyo itolea idhini Mwenyezi Mungu?” (Ash-Shuraa: 21)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Yeyote mwenye kuzua katika jambo ambalo si sehemu yake, basi litaregeshwa.”
(Imepokelewa na Bukhari na Muslim – [yaani halikubaliki])
Maana: Bid’ah ni kuongeza, kubadilisha, au kuanzisha ibada katika Uislamu bila msingi kutoka katika Qur’an au Sunna sahihi ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).