Je, Tunatanguliza Maneno ya Mtu Yoyote Juu ya Maneno ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, Tunatanguliza Maneno ya Mtu Yoyote Juu ya Maneno ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake?
العقيدة سؤال وجواب – هل نقدم قولا على قول الله ورسوله ؟
لا نقدم قولا على قول الله ورسوله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
يا أيها الذين آمنوا لا تقدموا بين يدي الله ورسوله
[الحجرات : 1]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا طاعة في معصية الله ، إنما الطاعة في المعروف
متفق عليه واللفظ لمسلم
Aqida: ( Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Je, Tunatanguliza Maneno ya Mtu Yoyote Juu ya Maneno ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake?
Hatutangulizi maneno ya mtu yeyote juu ya maneno ya Allah na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Enyi mlio amini! Msitangulie mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, ”
(Al-Hujurat: 1)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna utiifu katika kumuasi Allah, hakika utiifu ni katika mema tu.” (Imepokewa na Bukhari na Muslim, lafudhi ni ya Muslim)
Maana: Ni lazima tuweke maneno ya Allah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) mbele ya maneno ya mtu yeyote, bila kujali hadhi au cheo chake.