Document

Ni nani Walii?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Ni nani Walii?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Ni nani Walii?
العقيدة سؤال وجواب – من هو الولي ؟
الولي هو المؤمن التقي
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ألا إن أولياء الله لا خوف عليهم ولا هم يحزنون ، الذين آمنوا وكانوا يتقون
[يونس : 63-62 ]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
إنما ولي الله وصالح المؤمنين
رواه مسلم
Aqida: (Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Ni nani Walii?
Walii ni muumini mwenye uchamungu.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Jueni kwamba hakika mawalii wa Allah hawana hofu wala hawatahuzunika. Hao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha Mungu.”
(Yunus: 62-63)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika Walii wangu ni Allah na waumini wema.”
(Imepokewa na Muslim)

32
شارك :

error-img taf-img