Je, Inafaa Kuwafanya vipenzi na Kuwasaidia Makafiri?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, Inafaa Kuwafanya vipenzi na Kuwasaidia Makafiri?
العقيدة سؤال وجواب – هل تجوز موالاة الكفار ونصرتهم ؟
لا تجوز مولاة الكفار ونصرتهم
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ومن يتولهم منكم فإنه منهم
[المائدة : 51]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
ألا إن آل أبي (يعني فلانا) ليسوا لي بأولياء
رواه مسلم
لأنهم من الكفار
Aqida:( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Je, Inafaa Kuwafanya vipenzi na Kuwasaidia Makafiri?
Haifai kuwafanya vipenzi na kuwasaidia makafiri.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao..” (Al-Ma’idah: 51)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Jueni kuwa watu wa Abu (yaani fulani) si mawalii wangu.”
(Imepokewa na Muslim)