Ni Nini Maana ya Al walaa kwa Waumini?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Ni Nini Maana ya Al walaa kwa Waumini?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Ni Nini Maana ya Al walaa kwa Waumini?
العقيدة سؤال وجواب – ما هو الولاء للمؤمنين ؟
هو الحب والنصرة للمؤمنين والموحدين
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
والمؤمنون والمؤمنات بعضهم أولياء بعض
[التوبة : 71]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
المؤمن للمؤمن كالبنيان ، يشد بعضه بعضا
متفق عليه
Aqida:( Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Ni Nini Maana ya Al walaa kwa Waumini?
Al-Uwalaa kwa waumini ni kuwapenda na kuwasaidia waumini na watu wa Tawheed.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi..” (At-Tawba: 71)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Muumini kwa muumini ni kama jengo, kila sehemu inashikilia nyingine.”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim – Hadithi Muttafaqun ‘Alayh)

18
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img