Ni Nini Hukumu ya Jihad Katika Njia ya Allah?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
العقيدة سؤال وجواب – ما حكم الجهاد في سبيل الله ؟
الجهاد واجب بالمال والنفس واللسان
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
انفروا خفافا وثقالا وجاهدوا بأموالكم وأنفسكم
[التوبة : 41]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
جاهدوا المشركين بأموالكم، وأنفسكم ، وألسنتكم
رواه أبوداود وصححه الألباني
Aqida:( Itikadi ya Kiisalmu Swali na Jibu –
Ni Nini Hukumu ya Jihad Katika Njia ya Allah?
Jihad ni Wajibu kwa Mali, Nafsi, na Ulimi.
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Nendeni mtoke, mkiwa wepesi na wazito, na piganeni Jihadi kwa mali yenu na nafsi zenu katika Njia ya Mwenyezi Mungu..”
(At-Tawba: 41)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Fanyeni jihad dhidi ya washirikina kwa mali zenu, nafsi zenu, na ndimi zenu.”
(Imepokewa na Abu Dawud na kuthibitishwa na Al-Albani)