Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) Aliumbwa Kutokana na Nini?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) Aliumbwa Kutokana na Nini?
العقيدة سؤال وجواب – من أي شيء خلق محمد صلى الله عليه وسلم ؟
خلق الله محمدا صلى الله عليه وسلم من نطفة
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
هو الذي خلقكم من تراب ثم من نطفة
[غافر : 67]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
إن أحدكم يجمع خلقه في بطن أمه أربعين يوما نطفة
صححه الألباني ( صحيح الجامع ) والأصل في الصحيحين
Aqida: ( Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu –
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) Aliumbwa Kutokana na Nini?
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) Aliumbwa Kutokana na Tone la Manii (Nutfah).
Dalili kutoka kwenye Qur’an Tukufu:
Allah anasema:
” Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha kwa tone la manii,.” (Ghafir: 67)
Dalili kutoka kwenye Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika mmoja wenu hukusanywa (kiwiliwili chake) katika tumbo la mama yake kwa muda wa siku arobaini akiwa tone la manii.”
(Imethibitishwa na Al-Albani katika Sahih Al-Jami’ na ipo katika Sahihain – Bukhari na Muslim)