Je, inaruhusiwa kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Je, inaruhusiwa kuapa kwa asiyekuwa  Mwenyezi Mungu?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Je, inaruhusiwa kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
العقيدة سؤال وجواب – هل يجوز الحلف بغير الله ؟
لا يجوز الحلف إلا بالله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
قل بلى وربي لتبعثن
[التغابن : 7]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من حلف بغير الله فقد أشرك
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Je, inaruhusiwa kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?
Hairuhusiwi kuapa ila kwa jina la Mwenyezi Mungu tu.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu
Allah amesema:
” Sema: Kwani? Naapa kwa Mola wangu Mlezi!.”
[At-Taghabun: 7]
Dalili kutoka katika Sunna za Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Anayeapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, basi ameshirikisha.”
Imepokewa na Abu Dawud na kusahihishwa na Al-Albani

18
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img