Je, tunapaswa kuamini mambo anayosema mchawi au mganga?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, tunapaswa kuamini mambo anayosema mchawi au mganga?
العقيدة سؤال وجواب – هل نصدق العراف والكاهن ؟
لا نصدقهما في إخبارهما عن الغيب
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
قل لا يعلم من في السماوات والأرض الغيب إلا الله
[النمل : 65]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من أتى عرافا أو كاهنا فصدقه بما يقول ، فقد كفر بما أنزل على محمد
صححه الألباني ( صحيح الجامع )
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Swali na Jibu –
Je, tunapaswa kuamini mambo anayosema mchawi au mganga?
Hapana, hatupaswi kuamini mambo wanayosema kuhusu mambo ya ghaibu.
Dalili kutoka kwa Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
Sema, hakuna anayejua ghaibu wa mbingu na ardhi isipokuwa Allah.
[An-Naml: 65]
Dalili kutoka kwa Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam(
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
Yeyote atakayekwenda kwa mchawi au mganga na akamwamini anachosema, amekufuru kwa kile kilichoteremshwa kwa Muhammad.
Imepokelewa na al-Albani (Sahih al-Jami’).