Je, inaruhusiwa kwenda kwa mganga au mchawi?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Je, inaruhusiwa kwenda kwa mganga au mchawi?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Je, inaruhusiwa kwenda kwa mganga au mchawi?
العقيدة سؤال وجواب – هل يجوز الذهاب إلى الكاهن والعراف ؟
لا يجوز الذهاب إليهما
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
هل أنبئكم على من تنزل الشياطين ، تنزل على كل أفاك أثيم
[الشعراء : 221-222]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من أتى عرافا فسأله عن شيء لم تقبل له صلاة أربعين ليلة
رواه مسلم
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Swali na Jibu
Je, inaruhusiwa kwenda kwa mganga au mchawi?
Hapana, hairuhusiwi kwenda kwao.
Dalili kutoka kwa Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet’ani? Wanamshukia kila mzushi mkubwa mwingi wa dhambi.  [As-Shu’ara: 221-222]
Dalili kutoka kwa Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
Yeyote atakayekwenda kwa mchawi na kumuuliza jambo, sala zake hazitakubaliwa kwa muda wa siku arobaini.
Imepokewa na Muslim.

15
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img