Je, inafaa kuswali huku kaburi likiwa mbele yako?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, inafaa kuswali huku kaburi likiwa mbele yako?
العقيدة سؤال وجواب – هل تجوز الصلاة والقبر أمامك ؟
لا تجوز الصلاة إلى القبر
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
فول وجهك شطر المسجد الحرام
[البقرة : 144]
أي استقبل الكعبة
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
لا تجلسوا على القبور ولا تصلوا إليها
رواه مسلم
Aqiida ( Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu –
Je, inafaa kuswali huku kaburi likiwa mbele yako?
Haifai kuswali kuelekea kaburi.
Dalili kutoka katika Qur’ani Tukufu:
Amesema Mwenyezi Mungu:
” Basi elekeza uso wako upande wa Msikiti Mtakatifu; ”
[Al-Baqara: 144]
Yaani, elekea kwenye Kaaba.
Dalili kutoka kwa Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) :
Amesema (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
“Msiwe mkikaa juu ya makaburi wala msiswali mukiwa mumeyaelekea.”
Imepokewa na Muslim.