Je, Tunaruhusiwa Kuomba Msaada kwa Walioko Hai na Waliopo Karibu?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Je, Tunaruhusiwa Kuomba Msaada kwa Walioko Hai na Waliopo Karibu?
العقيدة سؤال وجواب – هل نستعين بالأحياء الحاضرين ؟
نعم، فيما يقدرون عليه
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
وتعاونوا على البر والتقوى ولا تعاونوا على الإثم والعدوان
[المائدة : 2]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
والله في عون العبد ما كان العبد في عون أخيه
رواه مسلم
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Swali na Jibu –
Je, Tunaruhusiwa Kuomba Msaada kwa Walioko Hai na Waliopo Karibu?
Swali:
Je, tunaruhusiwa kuomba msaada kwa watu walioko hai na waliopo karibu?
Jibu:
Ndio, inaruhusiwa ikiwa ni katika mambo wanayoweza kuyafanya.
Dalili kutoka Qur’an:
Mwenyezi Mungu Amesema:
“Na saidianeni katika wema na uchamungu, wala msisaidiane katika dhambi na uadui.”
[Al-Maida: 2]
Dalili kutoka Sunna ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Na Mwenyezi Mungu atakuwa katika msaada wa mja wake, maadamu mja yupo katika msaada wa ndugu yake.”
[Imepokewa na Muslim]