Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu – Je, tunapaswa kuomba msaada kwa wafu au walioko mbali?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu – Je, tunapaswa kuomba msaada kwa wafu au walioko mbali?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu – Je, tunapaswa kuomba msaada kwa wafu au walioko mbali?
العقيدة سؤال وجواب – هل نستغيث بالأموات أو الغائبين ؟
لا نستغيث بهم بل نستغيث بالله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
إذ تستغيثون ربكم فاستجاب لكم
[الأنفال : 9]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
عن أنس بن مالك رضي الله عنه :كان النبي صلى الله عليه وسلم إذا كربه أمر قال:
يا حي يا قيوم برحمتك أستغيث
رواه الترمذي وحسنه الألباني
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu –
Je, tunapaswa kuomba msaada kwa wafu au walioko mbali?
Hatuombi msaada kwao bali tunamuomba msaada Mwenyezi Mungu.
Dalili kutoka katika Qur’an:
Mwenyezi Mungu amesema:
” Mlipo kuwa mkimuomba msaada Mola wenu Mlezi, naye akakujibuni.”
[Surat Al-Anfal: 9]
Dalili kutoka katika Sunnah:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehma na amani zimshukie) amesema:
Kutoka kwa Anas bin Malik (Mwenyezi Mungu amridhie): Alikuwa Mtume (Rehma na amani zimshukie) akipata shida husema:
“Ee Aliye Hai, Ee Mwenye Kusimamia, kwa rehema zako nakuomba msaada.”
(Imepokewa na At-Tirmidhi na kuhesabiwa nzuri na Al-Albani)

20
شارك :

error-img taf-img