Document

Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu – Je, Maiti wanasikia maombi?

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu – Je, Maiti wanasikia maombi?
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu – Je, Maiti wanasikia maombi?
العقيدة سؤال وجواب – هل يسمع الأموات الدعاء؟
الأموات لا يسمعون الدعاء
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
إنك لا تسمع الموتى
[النمل : 80]
وقال الله تعالى :
وما أنت بمسمع من في القبور
[فاطر : 22]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
إن لله ملائكة سياحين في الأرض ، يبلغوني من أمتي السلام
رواه النسائي وصححه الألباني
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu Maswali na Majibu –
Je, Maiti wanasikia maombi?
Wafu hawasikii maombi.
Dalili kutoka katika Qur’an:
Mwenyezi Mungu amesema:
“Kwa hakika wewe huwezi kuwafanya maiti wasikie,.”
[Surat An-Naml: 80]
Pia amesema:
“Wala wewe si wa kuwasikilizisha walio makaburin..”
[Surat Fatir: 22]
Dalili kutoka katika Sunnah:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehma na amani zimshukie) amesema:
“Hakika Mwenyezi Mungu ana malaika wanaozunguka ardhini wakinifikishia salamu kutoka kwa umma wangu.”
(Imepokewa na An-Nasai na kusahihishwa na Al-Albani)

29
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img