Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu Maswali na Majibu – Je, ibada inafaida pamoja na shirki?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu Maswali na Majibu – Je, ibada inafaida pamoja na shirki?
العقيدة سؤال وجواب – هل ينفع العمل مع الشرك ؟
لا ينفع العمل مع الشرك
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ولو أشركوا لحبط عنهم ما كانوا يعملون
[الأنعام : 88]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
قال الله تبارك وتعالى : أنا أغنى الشركاء عن الشرك . من عمل عملا أشرك فيه معي غيري ، تركته وشركه
رواه مسلم
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu Maswali na Majibu –
Je, ibada inafaida pamoja na shirki?
Ibada haina faida pamoja na shirki.
Dalili kutoka katika Qur’an:
Mwenyezi Mungu amesema:
” Na lau wangeli mshirikisha yangeli waharibikia waliyo kuwa wakiyatenda..”
[Surat Al-An’am: 88]
Dalili kutoka katika Sunnah:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehma na amani zimshukie) amesema:
Mwenyezi Mungu, Mtukufu na Aliyetakasika, amesema:
“Mimi sina haja na mshirika. Mwenye kutenda tendo na akanishirikisha na mwingine, mimi humuacha yeye na ushirikina wake.”
[Imepokewa na Muslim]