Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu – Madhara ya shirki kubwa ni yapi?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu – Madhara ya shirki kubwa ni yapi?
العقيدة سؤال وجواب – ما هو ضرر الشرك الأكبر ؟
الشرك الأكبر يسبب الخلود في النار
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
إنه من يشرك بالله فقد حرم الله عليه الجنة ومأواه النار
[المائدة : 72]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من مات يشرك بالله شيئا دخل النار
متفق عليه
Aqiida (Itikadi ya Kiisalmu) Maswali na Majibu –
Madhara ya shirki kubwa ni yapi?
Shirki kubwa husababisha mtu kukaa milele motoni.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu:
Mwenyezi Mungu anasema:
“Hakika anayemshirikisha Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu amemharamishia Pepo, na makazi yake ni Motoni.”
[Surat Al-Maida: 72]
Dalili kutoka katika Sunnah ya Mtume (ﷺ):
Mtume (ﷺ) amesema:
“Yeyote atakayekufa huku akimshirikisha Mwenyezi Mungu na kitu chochote ataingia motoni.”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim)