Aqiida (Itikadi ya Kiisalamu) Maswali na Majibu – Dhambi gani ni kubwa zaidi?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiisalamu) Maswali na Majibu – Dhambi gani ni kubwa zaidi?
العقيدة سؤال وجواب – ما هو أعظم الذنوب ؟
أعظم الذنوب الشرك الأكبر
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
يا بني لا تشرك بالله إن الشرك لظلم عظيم
[لقمان : 13]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
عن عبدالله بن مسعود رضي الله عنه : سألت النبي صلى الله عليه وسلم : أي الذنب أعظم عند الله ؟ قال :
أن تجعل لله ندا وهو خلقك
متفق عليه
Aqiida (Itikadi ya Kiisalamu) Maswali na Majibu –
Dhambi gani ni kubwa zaidi?
Dhambi kubwa zaidi ni shirki kubwa.
Dalili kutoka katika Qur’an Tukufu:
Mwenyezi Mungu anasema:
“Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu. Hakika ushirikina ni dhulma kubwa.”
[Surat Luqman: 13]
Dalili kutoka katika Sunnah ya Mtume (ﷺ):
Imepokewa kutoka kwa Abdullah bin Mas’ud (Radhiya Allaahu ‘anhu), alisema:
Nilimuuliza Mtume (ﷺ):
“Ni dhambi gani kubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu?” Akasema:
“Ni kumfanya Mwenyezi Mungu ana mshirika, hali ya kuwa Yeye ndiye aliyekuumba.”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim)