Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu – Nini maana ya Tawhidi katika Sifa za Mwenyezi Mungu?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu – Nini maana ya Tawhidi katika Sifa za Mwenyezi Mungu?
العقيدة سؤال وجواب – ما هو التوحيد في صفات الله؟
إثبات ما وصف الله به نفسه أو رسوله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ليس كمثله شيء وهو السميع البصير
[الشورى : 11]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
ينزل ربنا تبارك وتعالى كل ليلة إلى السماء الدنيا
متفق عليه
-نزولا يليق بجلاله
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu –
Nini maana ya Tawhidi katika Sifa za Mwenyezi Mungu?
Jibu: Tawhidi katika Sifa za Mwenyezi Mungu ni kumthibitishia Mwenyezi Mungu zile sifa Alizojisifu nazo Mwenyewe au sifa alizomsifu nazo Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) bila kupotosha, .
Ushahidi kutoka Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
“Hakuna kitu mfano wake, Naye ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona.”
(Ash-Shuraa: 11)
Ushahidi kutoka Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Mola wetu Mtukufu, huteremka kila usiku katika mbingu ya dunia…”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim)
-kuteremka unaoambatana na utukufu wake.