Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu – Maana ya “Laa ilaaha illa Allah” ni nini?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu – Maana ya “Laa ilaaha illa Allah” ni nini?
العقيدة سؤال وجواب – ما معنى لا إله إلا الله ؟
لا معبود بحق إلا الله
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ذلك بأن الله هو الحق وأن ما يدعون من دونه الباطل
[لقمان : 30]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من قال : لا إله إلا الله ، وكفر بما يعبد من دون الله ، حرم ماله ودمه
رواه مسلم
Aqiida (Itikadi ya Kiislamu) Maswali na Majibu –
Maana ya “Laa ilaaha illa Allah” ni nini?
Jibu:
“Laa ilaaha illa Allah” inamaanisha kuwa hakuna anayestahili kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu peke yake.
Ushahidi kutoka Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
“Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye wa kweli, na hayo wanayo waomba badala yake ni batili.”
(Luqman: 30)
Ushahidi kutoka Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Yeyote atakayesema: Laa ilaaha illa Allah, na akakataa kuabudu chochote kingine badala ya Mwenyezi Mungu, mali yake na damu yake zitahifadhiwa.”
(Imepokewa na Muslim)