Aqiida ( Iiakadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu – Kwa nini Mwenyezi Mungu aliwatuma Mitume?
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Aqiida ( Iiakadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu – Kwa nini Mwenyezi Mungu aliwatuma Mitume?
العقيدة سؤال وجواب – لماذا أرسل الله الرسل؟
للدعوة إلى عبادته ونفي الشريك عنه
الدليل من القرآن الكريم
قال الله تعالى :
ولقد بعثنا في كل أمة رسولا أن اعبدوا الله واجتنبوا الطاغوت
[النحل : 36]
الدليل من السنة النبوية
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
الأنبياء إخوة لعلات ، أمهاتهم شتى ، ودينهم واحد
متفق عليه
إخوة لعلات : أي أنهم أخوة لأب واحد من أمهات مختلفة
دينهم واحد : أي أن كل الرسل دعوا إلى التوحيد
Aqiida ( Iiakadi ya Kiislamu: Maswali na Majibu –
Kwa nini Mwenyezi Mungu aliwatuma Mitume?
Jibu: Mwenyezi Mungu aliwatuma Mitume kwa ajili ya kuwaita watu kumuabudu Yeye peke yake na kukanusha ushirikina.
Ushahidi kutoka Qur’an Tukufu
Mwenyezi Mungu amesema:
“Na hakika tulimtuma katika kila umma Mtume (awaambie): Muabuduni Mwenyezi Mungu na epukeni taghuti.”
(An-Nahl: 36)
Ushahidi kutoka Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Manabii ni ndugu wa baba mmoja lakini kutoka kwa mama tofauti, na dini yao ni moja.”
(Hadithi hii imekubaliwa na Bukhari na Muslim)
”Ndugu wa baba mmoja kutoka kwa mama tofauti” ina maana kwamba Mitume wote walikuwa na ujumbe wa (tawhidi), kumpwekesha Mwenyezi Mungu ingawa sharia zao zilitofautiana kulingana na nyakati na watu wao.
”Dini yao ni moja” inaonyesha kwamba Mitume wote walilingania kwenye kumuabudu Mwenyezi Mungu pekee bila kumshirikisha na chochote.