Silsila ya Tabia mbaya – Ubakhili na uchoyo
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Silsila ya Tabia mbaya – Ubakhili na uchoyo
سلسلة الأخلاق – البخل والشح
أخلاق مذمومة نفر منها الشرع ونهى عنها
البخل والشح
قال الله تعالى :
ولا يحسبن الذين يبخلون بما آتاهم الله من فضله هو خيرا لهم بل هو شر لهم سيطوقون ما بخلوا به يوم القيامة
( آل عمران : 180 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
واتقوا الشح ؛ فإن الشح أهلك من كان قبلكم ، حملهم على أن سفكوا دماءهم ، واستحلوا محارمهم
رواه مسلم
Silsila ya Tabia mbaya – Ubakhili na uchoyo
Maadili mabaya ambayo Sharia imeyakataza na kuyachukia ni tabia ya
Ubakhili na uchoyo
Allah Mtukufu amesema:
“Wala wasidhani wale ambao wanafanya ubakhili katika aliyo wapa Mwenyezi Mungu katika fadhila zake kuwa ni kheri yao. Bali hiyo ni shari kwao. Watafungwa kongwa za yale waliyo yafanyia ubakhili Siku ya Kiyama.”
(Al-Imran: 180)
Mtume amesema (Rehema na amani zimfikie yeye
“Jiepusheni na uchoyo (shuhh), kwani uchoyo uliwaangamiza waliokuwa kabla yenu; uliwapelekea kumwaga damu zao na kuyahalalisha yaliyo haramu kwao.”
(Imepokewa na Muslim)