Silsila ya Tabia mbaya – Kusambaza uvumi na kufichua siri
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Silsila ya Tabia mbaya – Kusambaza uvumi na kufichua siri
سلسلة الأخلاق – نشر الشائعات وإفشاء السر
أخلاق مذمومة نفر منها الشرع ونهى عنها
نشر الشائعات وإفشاء السر
قال الله تعالى :
وإذا جاءهم أمر من الأمن أو الخوف أذاعوا به ولو ردوه إلى الرسول وإلى أولي الأمر منهم لعلمه الذين يستنبطونه منهم
( النساء : 83 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
إن من أشر الناس عند الله منزلة يوم القيامة الرجل يفضي إلى امرأته وتفضي إليه ثم ينشر سرها
رواه مسلم
Silsila ya Tabia mbaya – Kusambaza uvumi na kufichua siri
Maadili mabaya ambayo Sharia imeyakataza na kuyachukia ni mtu
Kusambaza uvumi na kufichua siri
Allah Mtukufu amesema
Na linapo wafikia jambo lolote lilio khusu amani au la kitisho wao hulitangaza. Na lau kuwa wangeli lipeleka kwa Mtume na kwa wenye mamlaka kati yao, wale wanao chunguza wangeli lijua.”
(An-Nisa: 83)
Mtume amesema (Rehema na amani zimfikie yeye
Miongoni mwa watu walio katika hali mbaya zaidi mbele ya Allah Siku ya Kiyama ni mwanaume anayemwingilia mke wake na mke akaingiliwa, kisha akafichua siri yake.”
(Imepokewa na Muslim)
)