Document

Silsila ya Tabia mbaya – Kusingizia na Uzushi new post

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Silsila ya Tabia mbaya – Kusingizia na Uzushi
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Silsila ya Tabia mbaya – Kusingizia na Uzushi
سلسلة الأخلاق – الافتراء والبهتان
أخلاق مذمومة نفر منها الشرع ونهى عنها
الافتراء والبهتان
قال الله تعالى :
والذين يؤذون المؤمنين والمؤمنات بغير ما اكتسبوا فقد احتملوا بهتانا وإثما مبينا
( الأحزاب : 58 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
ومن قال في مؤمن ما ليس فيه أسكنه الله ردغة الخبال حتى يخرج مما قال .
رواه أبو داود وصححه الألباني

Silsila ya Tabia mbaya – Kusingizia na Uzushi
Maadili mabaya ambayo Sharia imeyakataza na kuyachukia ni mtu
Kusingizia na Kuzulia watu
Allah Mtukufu amesema
Na wale wanaowaudhi Waumini wanaume na wanawake bila ya wao kufanya kosa lolote, basi wamebeba uzushi na dhambi iliyo wazi.”
(Al-Ahzab: 58)
Mtume Amesema (Rehema na amani zimfikie yeye
“Yeyote atakayesema juu ya muumini jambo ambalo si la kweli, Allah atamweka katika matope ya uchafu wa Jahannam mpaka atoke katika alichokisema.”
(Imepokewa na Abu Dawud na imekhukumiwa kuwa sahihi na Al-Albani)

10
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img