Document

Silsila ta Tabia njema– Kuwa Kiasi na wastsni new post

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Silsila ta Tabia njema– Kuwa Kiasi na wastsni
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Silsila ta Tabia njema– Kuwa Kiasi na wastsni
سلسلة الأخلاق – القصد والاعتدال
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
القصد والاعتدال
قال الله تعالى :
ورهبانية ابتدعوها ما كتبناها عليهم إلا ابتغاء رضوان الله فما رعوها حق رعايتها
(الحديد : 27 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
ما بال أقوام قالوا كذا وكذا ؟ لكني أصلي وأنام . وأصوم وأفطر . وأتزوج النساء . فمن رغب عن سنتي فليس مني
متفق عليه واللفظ لمسلم

Silsila ta Tabia njema– Kuwa Kiasi na wastsni
Maadili mema ambayo Sharia imehimiza na kuamrisha ni
Mtu kuwa Kiasi na wastani
Allah Mtukufu anasema:
Na umonaki (utawa wa mapadri) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. ”
(Surat Al-Hadid: 27)
Mtume ( Rehema na amani amesema
“Kuna nini kwa watu wanaosema kadhaa na kadhaa? Lakini mimi naswali na pia nalala, na nafunga na pia nafuturu, na naoa wanawake. Basi yeyote anayepinga Sunnah yangu si katika mimi.”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim – na matamshi ni ya Muslim)

8
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img