Silsila ya Tabia njema – Kutimiza Ahadi
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Silsila ya Tabia njema – Kutimiza Ahadi
سلسلة الأخلاق – الوفاء بالعهد
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
الوفاء بالعهد
قال الله تعالى :
وأوفوا بالعهد إن العهد كان مسئولا
( الإسراء : 34 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
أربع من كن فيه كان منافقا خالصا ، ومن كانت فيه خصلة منهن كانت فيه خصلة من النفاق حتى يدعها: إذا اؤتمن خان ، وإذا حدث كذب ، وإذا عاهد غدر ، وإذا خاصم فجر.
متفق عليه واللفظ للبخاري
Silsila ya Tabia njema – Kutimiza Ahadi
Ni miongoni mwa maadili mema ambayo Uislamu umehimiza na kuamrisha ni::
Kutimiza Ahadi
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
Na timizeni ahadi; hakika ahadi itaulizwa.
(Surat Al-Israa: 34)
Na amesema Mtume (Rehema na amani zimikie yeye:
Mambo manne yakipatikana kwa mtu, huwa ni mnafiki halisi; na mwenye kuwa na sifa moja miongoni mwa hizo, basi ana sifa ya unafiki mpaka aache:
Akikabidhiwa amana hufanya khiyana,
Akizungumza hudanganya,
Akiahidi huvunja,
Na akigombana hupindukia mipaka.
(Imepokewa na Bukhari na Muslim, na lafudhi ni ya Bukhari)