Silsila ya Tabia njema – Uadilifu
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Silsila ya Tabia njema – Uadilifu
سلسلة الأخلاق – العدل
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
العدل
قال الله تعالى :
يا أيها الذين آمنوا كونوا قوامين لله شهداء بالقسط ولا يجرمنكم شنآن قوم على ألا تعدلوا اعدلوا هو أقرب للتقوى
( المائدة : 8 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
ما من أمير عشرة ، إلا وهو يؤتى به يوم القيامة مغلولا ، حتى يفكه العدل ، أو يوبقه الجور
صححه الألباني ( صحيح الجامع )
Silsila ya Tabia njema – Uadilifu
Ni miongoni mwa maadili mema ambayo Uislamu umehimiza na kuamrisha ni:
Uadilifu
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu.
(Surat Al-Ma’idah: 8)
Na amesema Mtume (Rehema na amani zimfikie yeye:
Hakuna kiongozi wa watu kumi isipokuwa ataletwa siku ya Kiyama akiwa amefungwa minyororo, mpaka uadilifu wake utamfungua au dhulma yake itamuangamiza.
(Imesahihishwa na Al-Albani – Sahih Al-Jami’)